Tuesday, October 9, 2012

Maandazi


Ingredients:
Unga/flour 4 cups
Sukari/Sugar 1 cup
Hamira/dry yeast 1 tsp
Samli au mafuta/ Gee or normal oil 1 tblsp
Maziwa au tui la nazi/Milk or coconut milk 1 1/2 cups
Hiliki/ Cardemum 1/2 tsp
Mafuta ya kukaangia/cooking oil








   How its done:
 
Swahili:
  1. Changanya unga Hamira, Samli, maziwa au tui, kisha vuruga na kanda ukandike kiasi. 
  2. Kata madonge manane kisha acha uumuke.  
  3. Ukishaumuka sukuma kila donge ukate vipande vinne.
  4. Panga kwenye meza tena yaumuke. Weka mafuta ya kukaangia katika karaii na yakaange kwa moto wa kiasi.´
  5. Yatoe weka kwenye sahani tayari kwa kuliwa.

English:
  1. Mix everything together and kneed it well
  2. cut the dough into smaller round doughs maybe 8-10 and let it rest for the yeast to raise
  3. When the dough has risen, roll the small doughs into a thick tortilla shape and cut it in 4
  4. Put it in a tray( do not pile them up) and let them be for half an hour
  5. Put the oil in a big pan to deep fry your maandazi with middle heat
  6. Deep fry your mandazi and take them out when they change their color to brown ish
  7. Ready to eat with cofee or bean stue or what ever you want









No comments:

Post a Comment