Sunday, October 7, 2012
BOKHARI
Ingredients:
1 cup Rice
3 onions sliced
400-500g chicken pieces
5 whole cardemom, open them ( Iliki nzima)
2 sticks cinemon, cut them in half ( Mdalasini)
3-4 cloves ( karafuu)
1 Vegitable or chicken cube
2table spoon vegitable oil
½tsp salt
4dl tomato in a box or blend 2 tomatoes with 1tblsp water
1 Carrot
1 box or 42g or 2-3 tblsp rasins
How to cook!!
1. Kaanga vitunguu vikianza kulegea( usisubiri viwe vya brown) tia kuku, iliki, mdalasini,chumvi na karafuu kisha funika kwa foil.
Eng: Fry the onions abit when they start to be soft ( dont wait till its brown) then add your chicken, cinemon, cardemom,cloves and salt then cover them with foil.
2. Fungua ugeuze geuze then tia nyanya na endelea kufunika ukiwacha nyama yako iive kama dakika 15 hivi. usisahau ku koroga ili visiungue.
Eng: Open and stir then add tomato paste and continue to cover it with foil to let the chicken get done for maybe 15-20 mins. Dont forget to check on it often so it doesnt burn.
3.Toa kuku mmoja mmoja kwenye mchuzi na uwatandaze kwenye oven tray yako. Washa oven for 150C na uwaweke kuku wako kama dakika 20-30.
Eng: Take the chicken out one by one from the tomato stew and put them in your oven tray. Put the oven on about 150C and put the chicken in the oven for about 20-30 mins
4. Tia mchele wako kwenye rosti lako la nyanya na ufunike na foil. Fungua utizame usiungue na ongeza maji kama mchuzi wako kidogo ili wali wako uive.
Eng: Put your rice in the stew and let it cook. Cover it with foil but check it often so it doest burn. Add water abit if your tomato stew is little so that the rice could get cooked.
5. Randa carrot zako na ukate kipande cha foil na uweke hizo carrot na zabibu kama kafurushi cha mzigo. Ufunge vizuri usimwagike kiurahisi. Wali uliwa karibu na kuiva ufunue katikati na uweke kifurushi chako. so juu wali katikati kifurish halaf chini wali. Endelea kuufunika kwa foil waliwako.
Unaweza kuuweka kwenye oven kidogo ili uive vizuri. Mvuke utaivisha carrot zako.
Eng: Grate the carrot and put them in a piece of foil and make a percel together with the rasins. Make sure it is nicely closed so it does come out on the rice. In between your rice put your carrot and rasin parcel( Rice, parcel then rice) cover it with foil and again dont forget it, it will burn. You can put it in the oven for couple of minutes if you want.
6. Ukiiva pakua wali wako kwenye sahani kubwa. Tandaza nyama zako kisha mwagia carrot na zabibu juu. Tayari kwa kula.
Eng: When the rice is done, put it in a big plate and put the chicken on top then spread your raisins and carrots and its ready to eat!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment